Chui Forums app for iPhone and iPad
4.4 (
624 ratings )
Education
Productivity
Developer: Magofarm LTD
Free
Current version: 7.3, last update: 1 year agoFirst release : 22 Jun 2021
App size: 21.14 Mb
Mafanikio yanahitaji kujifunza pasipo na kikomo. Chui ni jukwaa mahususi la kukupa maarifa ya kukuwezesha kupiga hatua kitaalamu na katika maisha yako binafsi. Pakua programu ya Chui leo kujenga ujuzi katika mada mbalimbali kama ujasiriamali, biashara, uchumi, burudani, teknolojia, urembo, ufugaji na nyingine nyingi zaidi. Chota maarifa kutoka kwa wataalamu waliofanikiwa zaidi katika fani zao. Andaa maisha yako ya baadaye kwa mafunzo ya mtandaoni ambayo hutoa ustadi wa kiutendaji, wa kitaalam na katika maisha binafsi. Karibu ujifunze nasi, kidigitali zaidi.